skip to main |
skip to sidebar
TIMU YA YOUNG AFRICAN SPORT CLUB LEO IME WAFUNGA AFRCAN LYON KATIKA UWANJA WA TAIFA,MSHAMBULIA JERRY TEGETE LEO KATIKA UWANJA WA TAIFA KAFUNGA MAWILI PEKEEYAKE WAKATI YONG AFRICAN IKIUWA 4-0....

katika hii picha za taifa stars wakiwa wakijiandaa na mazoezi katika uwanja uliopo dar-es-salaam,wachezaji wote wapo MRISHO KHALFAN NGASSA,MBWANA ALLY SAMATA,THOMAS ULIMWENGU,shomary kapombe na wengineo.
katika hii picha za taifa stars wakiwa wakijiandaa na mazoezi katika uwanja uliopo dar-es-salaam,wachezaji wote wapo MRISHO KHALFAN NGASSA,MBWANA ALLY SAMATA,THOMAS ULIMWENGU,na wengine.
young african sport club vs mtibwa sugar leo katika uwanja wa taifa dar es salaam,mechi hiyo i likuwa si rahisi kati ya young african vs mtibwa sugar leo hii iliyo cheza muda wa saa 4:00,magoli hayo yalifungwa na KISIGA wa mtibwa sugar na HAMIS KIIZA,timu zote zikitoka sare ya 1-1.